NAJIVUNIA KUWA MKIKUYU SABABU 1. Sijawahi ambia mtu keep - TopicsExpress



          

NAJIVUNIA KUWA MKIKUYU SABABU 1. Sijawahi ambia mtu keep change 2. Watu wakisherehekea mpira mimi najiulizanga hiyo uwanja inaweza toka plot ngapi? 3. Siwezi nunua Range rover kukiwa na Toyota......NEVER 4. Siwezi lipa choo kwa kanju afadhali ningoje hadi kwa nyumba 5. Siwezi nunua nyama kama hiyo butcher ina matumbo 6. Siwezi weka simu airtime imezidi mbao ata ni vile bamba tano iliisha... 7. Siwezi peleka gari car wash kwangu kukiwa na maji... 8. Siwezi --------------?? . . . #Curtis
Posted on: Thu, 24 Oct 2013 11:48:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015