NAMISS ZILE ENZI ZENYE: *Nlikua nabeba mahindi choma mfukoni den - TopicsExpress



          

NAMISS ZILE ENZI ZENYE: *Nlikua nabeba mahindi choma mfukoni den nachomoa mojamoja class tym. *Naoga kwa mto den najianika kwa jiwe.Nkifika hom jioni nimekauka ka ujinga. *Kurusha mkojo na kuangalia ya nani itaenda far ndo ilkua fun. *Unalipa 10bob den unacheki video the whole day. *Ukinunuliwa kitu mpya ata ka ni nguo,bag,viatu unalala nayo kuskia raha. *Uktaka kufyt na msee mnachora lyn chini afu mnaambiana,"vuka ka wewe ni mume" *Nkivaa nguo ya safari home ni vita mbaya. *add more #Dånnie
Posted on: Thu, 25 Jul 2013 07:32:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015