NAMPENDA MTOTO WA RAISI SEHEMU YA KUMI NA MOJA Tuliingia Canada - TopicsExpress



          

NAMPENDA MTOTO WA RAISI SEHEMU YA KUMI NA MOJA Tuliingia Canada mida ya usiku sana ikatubidi tulale kwanza Aisha bado alikuwa na hasira na mimi so akaniomba tuchukue room yenye vitanda viwili, unajua Aisha pamoja na kuwa na hasira na mimi but alikuwa ananipenda sana so nkashangaa usiku anakuja kitandani kwangu akiwa hana nguo hata moja akaingia kwenye shuka na kujifunika kasha akanikumbatia na kusema James I love you sana hata nifanyaje siwezi kukuacha tulialala tu bila kufanya chochote na ilipofika alfajiri ikatubidi tuanze safari ya kwenda kwa Jones Peterson safari ilikuwa fupi sana kwani alikuwa anaishi karibu tu na border ya marekani tulipofika kulikuwa hamna tuligonga sana mwishowe kuamua kuingia ndani kufika ndani tulishtushwa na kuonyeshewa bunduki huku tukiulizwa Who are you? Me…dogo ametuagiza tuje kwako Jones…oh you must be James and you Aisha right Me and Aisha…yea Nimeandaa kila kitu kesho asubui ndo mnaondoka so mtalala kwangu leo,mtapanda ndege hapa mpaka Amsterdam then from there mtaenda Dubai afu ndo mtaenda Tanzania msijari hawawezi kuwagundua jinsi ntakavyowabadilisha. Nililala kwa furaha sana siku hiyo nikijua mateso yameisha narudi Tanzania nyumbani kila nilipomtizama Aisha alikuwa ni mtu wa kutabasamu tu, kwa hata ingekuwa wewe lazima ungefuarai tu ukizingatia mambo tuliyopitia ni makubwa sana. Ilipofika asubui ikaanza kazi ya kutubadilisha tukapigwa picha fasta na hapo hapo paper zikatengenezwa tiketi zilikuwa tayari so tukaenda zetu uwanja wa ndege na kuelekea zetu Tanzania. Taarifa zilifika katika jeshi la marekani kuwa tumepanda ndege tukitaka kutoroka kutokea Canada but hawakuweza kutupata pamoja na kukagua sana mwisho wa siku walipanga kulipua ndege na kusingizia magaidi ndo wamefanya hivo.Mipango ilikuwa ishaiva ilikuwa inasubiliwa ndege iingie zone ya bahari ndo walipue. Kwenye ndege mimi na Aisha tulikuwa watu wenye furaha sana kutoka katika ardhi ya wamarekani, ndege ilikuwa inakaribia Amsterdam nkaomba kuingia chooni wakaniambia ndege karibia ina land so nifanye haraka nafika toilet nakuta bomu limebakia dakika kama kumi kulipuka nkashtuka sana so haraka nikamuwai Aisha. Watu walijaa katika uwanja wa ndege wa Uholanzi katika jiji la Amsterdam wakiwasubilia ndugu na jamaa zao but walishtushwa na mshtuko mkubwa mbele ya macho yao hawakuamini hata kidogo ndege ilikuwa katika process ya kuland ikaripuka hapo hapo na ilikuwa inateketea kwa moto na kwa jinsi ilivyokuwa inaonekana hakuna uwezekano wa mtu kuepuka moto ule…. ITAENDELEA, JE AISHA NA JAMES WAMEKUFA?
Posted on: Sun, 08 Sep 2013 17:49:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015