NAMSHUKURU MUNGU ZIARA YANGU MKOANI MBEYA IMEKAMILIKA,NIMEZURU - TopicsExpress



          

NAMSHUKURU MUNGU ZIARA YANGU MKOANI MBEYA IMEKAMILIKA,NIMEZURU MAENEO KADHAA YA HUU MKOA NA NIMEJIFUNZA MENGI SANA,LAKINI KUBWA NI UZURI WA NCHI YANGU TANZANIA,MAENEO NLIOTEMBELEA NI PAMOJA NA TUKUYU,KYELA,BODA YA MALAWI NA NIKAFANIKIWA KUINGIA MALAWI,MBOZI,TUNDUMA NA NIKAFANIKIWA KUINGIA ZAMBIA,NA SASA NIPO MBEYA MJINI KUKAMILISHA HII ZIARA BINAFSI,ALHAMISI MUNGU AKIJALIA NTATUA JIJI LA MAKAMANDA WA UKWELI(ARUSHA),NTATEMBELEA WILAYA ZAKE ZOTE,NTAINGIA PIA MANYARA NA KENYA THEN NARUDI DAR KUJIPANGA UPYA KWA ZIARA NYINGINE NTAKAPOTEMBELEA MIKOA YA KUSINI,HADI MWISHO WA MWAKA HUU NAAMINI NTAKUA NIMEIMALIZA TANZANIA NZIMA,MAKAMANDA WENZANGU MNIOMBEE KTK NISAFIRI SALAMA MAANA SHETANI CCM YUPO KILA KONA KUNYEMELEA ROHO ZA MAKAMANDA,ziara hii si ya kichama bali ni yangu binafsi ktk kujijengea uwezo wa kuifahamu vyema nchi yangu,mwanasiasa makini lazima uifahamu vyema jamii na changamoto zinazowakabili ili uweze kuwazungumzia kwa ufasaha,may God bless me.
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 01:18:03 +0000

Trending Topics



min-height:30px;">
Hier die Gratulation von Jupp Heynckes an Franck Ribery! Boah
Dear members, a text of £1 £2 or £5 to 70070 from your phone
These are members of the Arizona chapter of Bikers Against Child
Guns N Roses T-shirt Firepower Design Tee Reviews. If you are
We probably don’t really need to advise you of how hot it is out

Recently Viewed Topics




© 2015