NAWAOMBENI MNISAMEHE KWA KUTOWALETEA STORI PENDWA YA UTAMU WA - TopicsExpress



          

NAWAOMBENI MNISAMEHE KWA KUTOWALETEA STORI PENDWA YA UTAMU WA VANILA KUTOKANA NA MATATIZO NA PIA SASA RATIBA YA CHUO KUNIBANA SANA. HVY NAPENDA KUWATAALIFU KUWA STORY YA UTAMU WA VANILA KWA MUDA NILIO NAO NITAKUA NAITOA MARA MOJA KWA SIKU TENA NI SAA TATU NA NUSU APO NDIPO NITAKUA NA MUDA. PIA KWA KESHO HASUBUHI SAA MBILI NITAITOA MANA MUDA NITAKUA NAO. SAMAHANIN KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA. SASA UNAWEZA KUBULUDIKA NA CHEKA NA COLIN, MUDA HUU.
Posted on: Mon, 04 Nov 2013 18:55:28 +0000

Trending Topics



Swansea we have a number
Ready Visas for PHYSICAL THERAPISTS May 2013 Batch (Ministry of
Medjugorje -Hay un elemento muy fuerte en el mundo actual en la
Well, I officially have a new funniest, most embarrassing moment
OK OK 8.20 PM DRAW WILL BEGIN *PHEW!!!!* Our contestants 1

Recently Viewed Topics




© 2015