NDOA NA FASHION ZA KILEO. Wasichana wengi siku hizi wanaumia kwa - TopicsExpress



          

NDOA NA FASHION ZA KILEO. Wasichana wengi siku hizi wanaumia kwa sababu they always looking for handsome guys wa ku date nao, kuzaa nao na hata kuolewa nao. Mnadhani maisha yanaishia kwenye picha za harusi jinsi mlivyopendeza, au frame za picha za photopshop mlizopiga pamoja na mkatokeleza kinoma. Na wengine wanawaza kwamba mtoto atakae zaa lazima azae na mtu fulani good looking ili mtoto asitoke na sura kama la mjomba. Bad News ni kwamba most handsome guys are not handsome in their heart as they are. Matokeo yake sasaaa . . . . Mabint husema wanaume wote ni waongo Eti hata wanaume wa kuoa nao wameisha Huishia mikononi mwa vibopa kwa mikataba maalum ya mshiko na Blackberry Usichana wake ukishachezewa na kuchakazwa vya kutosha mpaka hatamaniki ndo anatafuta sura mbaya kama mimi ndo nimuoe (Ongezea mengine) Bofya LIKE,SHARE,COMM ENT kama umeipenda. Kama umenuna unlike tu na wala usicomment pita tu, Lakin mi ntaendelea kusema tu
Posted on: Fri, 06 Sep 2013 06:51:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015