NIMEIKUTA SEHEMU: Kama CCM wanasema kuwa CHADEMA ni chama cha - TopicsExpress



          

NIMEIKUTA SEHEMU: Kama CCM wanasema kuwa CHADEMA ni chama cha Kikristo na cha Kaskazini, Basi tuseme kuwa CCM ni chama cha Pwani na Cha kiislamu? Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), 1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu 2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu 3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu 4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu 5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu 6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo) 7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu 8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu 1. Rais wa Nchi - Muislamu 2. Makamu wa Rais - Muislamu 3. Jaji Mkuu - Muislamu 4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu 5. Mkuu wa Polisi - Muislamu 6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu 7. Rais wa Zanzibar muislam 8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu. Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
Posted on: Wed, 04 Dec 2013 08:29:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015