NIONAVYO MIMI KUELEKEA KUFUNGWA KWA DIRISHA LA USAJILI LEO. SHikamoo mzee wenger hahahaaaa...huyu mzee bwana anafanya kile anachopenda na kwa muda atakao yeye.jezi namba 11 tayari inatengenezwa kwa ajiri ya damu ya kituruki iliyozaliwa ujerumani OZIL toka real madrid ndani ya arsenal the Gunnerz. Mzee wenger ni muumini wa mpira mzuri hata kama anafungwa,hapa Jack 10,pale Carzola mbele yake Ozil na juu kabisa unamkuka giroud.Mzee anaendelea kuthibitisha kwamba hana muda wa kupaki Bus. Naomba tupeane updates zote zinazoendelea Duniani,hakuna kulala mpaka dirisha lifungwe.
Posted on: Mon, 02 Sep 2013 15:22:17 +0000