NIONAVYO MIMI KUMLINGANISHA RAMSEY NA KINA LAMPARD, GERRARD NI - TopicsExpress



          

NIONAVYO MIMI KUMLINGANISHA RAMSEY NA KINA LAMPARD, GERRARD NI DHAMBI KUBWA! Ni kweli Ramsey yuko form,ni kweli anafunga magoli,ni kweli anaisaidia timu yake,ni kweli Lampard umri unakwenda na ni kweli Gerrard umri unakwenda lakini RAMBO bado hana uwezo wa kukaa V.I.P na hao watu! Ramsey bado anasafari ya kutembea kwa magoti toka Chanika hadi Boko ili kufikia hao ma-big brothers wa England. Ramsey hivi karibuni tu alikuwa akiinuliwa na Wenger kuingia kama sub,watu walikuwa wanamtukana wenger na kujaa jazba ya kwa nini anamuingiza!! Ni kweli yuko fomu but anasafari ndefu! Pamoja na kuwa yuko kwenye ubora wake,ukipewa nafasi leo utengeneza first eleven ya EPL,sina hakika kama atapata namba! Ana ubora yes,but sio wa Lampard na Gerrard!
Posted on: Mon, 11 Nov 2013 15:53:59 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015