NJIA 5 ZA KUPATA SITI KWA DALADALA ZETU ZA BONGO. 1.Jitahid kwenye - TopicsExpress



          

NJIA 5 ZA KUPATA SITI KWA DALADALA ZETU ZA BONGO. 1.Jitahid kwenye kugombea unakaa sehem sahih,sometim usisubir mpaka wanaoshuka waishe. 2.Kama kuna nafasi Dirishan pita tena kwa haraka. 3.Kama upo nyuma sana hakikisha unawashka sana watu nguo zao ili wakupe upenyo kwa kuwa weng bora wasimame kuliko kuchafuka. 4.Wahi mapema upate gar so kila siku unachelewa. 5.Teh Teh Geuka na Ndinga bhana. Mornie frndz.
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 05:04:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015