Na kwani MANCHESTER UNITED hawatawai shinda gem ingine ka c - TopicsExpress



          

Na kwani MANCHESTER UNITED hawatawai shinda gem ingine ka c champions league Man u wakapewa logo ya arsenal. FLY EMIRATES itaitwa WALK EMIRATES Ndo maana stadium ikaitwa OLD TRAFFORD imejaza wazae pkee kina FRDINAND VIDIC EVRA GIGGS ata ROONEY angekua mzae ka c kuongeza nywele Izi c tym z kina ERIC CANTONA sai ni ASHLEY YOUNG hahahahahah ata mi hucheza fiti kuliko ako kamsee kanakaanga ni ka kana rickets Man U imeshindwa mpaka STAMFORD BRIDGE inaanguka TRAFFORD ikazeeka(OLD) na jina yao inakaa kubadilishwa kutoka MANCHESTER UNITED ikue BOYCHESTER DIVIDED
Posted on: Sun, 01 Dec 2013 14:32:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015