Naaam!!! Ngoja niwaambie kitu wajukuu zangu.. *Unajua unapokua - TopicsExpress



          

Naaam!!! Ngoja niwaambie kitu wajukuu zangu.. *Unajua unapokua katika mahusiano ya kimapenzi na yule uliempendaa au unatamani kua nae ndo upo ktk mbio za kumpata kuna jambo fulaniii inabd ulifahamu.. *Pale unapokua katika mapenzi naee na wewe ndo umempenda kwa moyo wotee yan haumbiwi hausikii juu yake.. *Ila INAWEZEKANA AKAKUCHOKA NA AKAWA ANA LENGO LA KUKUACHA ILA KUKUAMBIA WAZI WAZI ANASHINDWA.. *Watu weng wapo hvyo hushndwa kusema ukweli wakee hasa akifikiria vitu ulivyo mfanyiaaa... Anajikuta anakukosea sana...hiyo ndo 7bu inayowafanya w2 wengii kushindwa kusema ukweli wao. *Ila nafsi yakee ndo itafanya kila kitu ili akuachee.. *Hapo atakufanyia vitu kwa vitendo ili ujue kama akupendiii inabdi huwe makini sana kumsoma ila huku mwanzo atakuwa anajifcha ficha ila bdaee atakuwa anafanya vitendo wazi waziiii ==>> Kma msg ukimtumia Hajibu na Ukimpigia hapokei na akipokeaa anakujibu..sorry Nitaku cal badae..ila Badae akupigii kamwe..na mengne meeengiii...ILA KUMBUKA HAWEZI KUKUTAMKIA KUA HAKUPENDI KATIKA MDOMO WAKE KAMWE. *Yani hata pale utakapo muhuliza kua kwanini unanifanyia haya yote?? ==>HUNIPENDI?? HEBU NIAMBIE UKWELI WAKO?? *HAPO HAWEZI KUKUJIBU LOLOTE!!! *ki2 cha kufanya wewe. ACHANA NAE MARA MOJA..!! NAJUA ITAKUWA VIGUMU ILA JITAHIDI COZ ATAKULETEA MATATIZO BADAE.!!! *JIULIZE.. ULIPOKUJA DUNIANI,, ULIFUATANA NAE??? MAISHA BILA YEYE INAWEZEKANA.!!! **♥ ♥***
Posted on: Mon, 08 Jul 2013 10:43:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015