Naalika mafans wote wa hii page kwa harusi yangu na kadem - TopicsExpress



          

Naalika mafans wote wa hii page kwa harusi yangu na kadem kasupu..... Kama wewe ni boy fisi, pliz usije... sutaki visirani siku ya harusi... Waluhya, plz. Kama mnakuja kujeni tu kusaidia usalama. Nawaogopa jikoni na mezani. Wasapere, hope hamtakaribia zawadi zangu. Waluhya pliz hakikisheni kuwa hawa watu wamekaa mbali.... Wajaka, jikoni ni kwenu.... Hao samaki wapikwe vizuri pamoja na sima... Watoto wa kigiriama na wataita.... hivyo viuno viyeyuke hiyo siku... mtumbuize wageni wangu. Aki chakula cha bride kisitayarishwe na mkamba... atapewa kamoti aniache.. Wakalenjin.. msiwe na haraka ya kuja. mkisikia bell. Kujeni mbio. Najua hamtachelewa. Maasai, nyinyi ndo mtakaribisha wageni kwa gate. Mruke juu kabisaa. Kama vile nyi hufanya Mamba village Kisii.... night shift ni yenu. mjitayarishe Walalo.... aki msiniabishe. plz mkibonga bongeni pole pole. Na msiteme mate mbele ya wageni. Matusi pia mpunguze Waswahili, plz, udaku muwache nyumbani.... tabia za kusengenya wageni wangu c poa. Pilau, biriani na kuku ni nyinyi mtapika. Na mtaanza mapema manake nyinyi ni wapole sana. Gate-crushers.... mtapatana na Wanyama na Wanyonyi au Tom Barasa kwa gate... ukisikia.... "Kamatako hako ka kate-crusher... " toka bio.. Na mniletee zawadi tafadhali... unaona zawadi gani yanifaa??
Posted on: Tue, 02 Jul 2013 08:47:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015