Naipenda sana nchi yangu Tanzania, sitaichoka nchi - TopicsExpress



          

Naipenda sana nchi yangu Tanzania, sitaichoka nchi yangu, Nitafanya kazi na kutimiza wajibu niliopewa na jamii, wa kitaaluma au wa kiasili, Nitatimiza majukumu ya kuajiliwa au ya kujitolea kwa akili na nguvu zangu zote. SERIKALI YANGU NITAITIA MOYO KWA KUTIMIZA ZAMU YANGU KWA WELEDI NA MAADILI YANGU. NALIJUA TAIFA, NAIJUA SIASA, NASIMAMA KWENYE TAIFA KISHA NATUMIA SIASA KAMA NJIA TU YA KUFIKIA MATARAJIO YA UJENZI WA TAIFA IMARA BILA KUATHIRI UHALISI WA TAIFA NA TOFAUTI YA VYAMA VYA SIASA NA SERIKALI.
Posted on: Sat, 09 Nov 2013 06:18:13 +0000

Trending Topics




© 2015