Naitwa XXX nina miaka 24 nipo iringa.miezi kama miwili iliyopita - TopicsExpress



          

Naitwa XXX nina miaka 24 nipo iringa.miezi kama miwili iliyopita kuna demu nilikuwa napiga nae story PM akasema yupo dar anasoma ifm akawa rafiki yangu mkubwa kama unavyojua hakuna urafiki wa mvulana na msichana bila kwanza kuwa wapenzi basi akawa demu wangu tukabadilishana mpaka namba za simu mapenzi yakaama kutoka PM mpaka kwenye simu. nikawa napiga simu mpaka ucku mwingi mapenzi yakanoga mwishoe akasema nimtumie nauli aje iringa tuonane mimi nasoma cna kazi wala nini ila nikapiga mizinga kwa faza na maza pia nilikuwa na akiba yangu nikamtumia 50000 yaani nauli pamoja na ya kutumia njiani. baada ya kumtumia hiyo hela mawasiliano yamepotea kumuona namuona online na ku-post ana post kama zamani ila nikimcheki PM ajibu kitu nikimpigia ile namba apokei kabisa nikibadilisha simu akinijua kama mimi anakata simu toka nimtumie hiyo ela kama week imepita na makubaliano yetu ilkuwa nikimtumia tu cku inayofata atakuwa kwenye gari anakuja huku. mimi roho inaniuma washkaji naonekana mjinga na msichana natamani nitue dar hata kesho nije kumsaka huko ifm alafu alisema anakaa mwenge nikimpata jamii itanilaumu nitamvuruga vibaya mno japo sijawahi kufika huko dar lakini najua cwezi kupata tabu kumtafuta ili ajue kuwa ela zinatafutwa aziokotwi. Jifunzeni toka kwangu wana MMU.
Posted on: Sat, 06 Jul 2013 13:06:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015