Naitwa kenedy lakini watu huniita hugo. Niko na miaka 23yrs na - TopicsExpress



          

Naitwa kenedy lakini watu huniita hugo. Niko na miaka 23yrs na niko na mawife wawili.. Mmoja anastay nairobi na mwingine Nax.. Na usisahau me ni hustler ile mbaya... Sikufanikiwa kuenda shule nijue 1+1=2.. So sijui mambo na economy vizuri.. Sasa juzi nilitembelea wife yangu wa nairobi.. Nikaspend the night nayee... Asubuhi kufika, nikaoga na nikachange nguo na nikawacha zile chafu huko.. Na nikachukua gari ya 6 morning hadi nax kwa wife wangu wa pili.. Sasa shida iliingilia pale nilipofika nax, nikakumbuka.. Kwa ile toja nilikuwa nimetoa nikawacha nai kwa ule wife mwingine, ndani kulikuwa na noti ya soo mbili... Jamani kurudi adi nairobi ntatumia kitu kama soo tatu na kurejea tena adi nax ni so tatu ingine kwa jumla yote naona itanikula kitu kama soo sita.. Mnaonaje nikitumia iyo soo sita kuenda kuchukua iyo soo mbili.?? Iyo soo mbili inaniuma sana..
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 23:42:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015