Namba 11 yupo Eden Hazard Namba 10 yupo Cesc Fabregas Namba - TopicsExpress



          

Namba 11 yupo Eden Hazard Namba 10 yupo Cesc Fabregas Namba 9 yupo Diego Costa Namba 8 yupo Ramires Do Nascimento Namba 7 yupo Andre Schurrle Namba 6 yupo Nemanja Matic Namba 5 yupo John Terry Namba 4 yupo Gary Cahill Namba 3 yupo Felipe Luis Namba 2 yupo Cesar Azpilicueta Namba 1 yupo Thibaut Courtois halaf nikitazama kwenye benchi kuna watu kama Petr Cech,Branislav Ivanovic,Tiago,Mikel,Van Ginkel,Salah,Willian,Oscar Dos Santos,Fernando Torres and possibly one new centre back,one new striker,and one new central midfielder Hivi assanal aliepigwa 6 atapigwa ngapi kama sio dozen? Hivi liverpool aliyepigwa nje ndani akiwa na suarez atapigwa ngapi akiwa na lambert? Nawaza tu,man u iliyopigwa 3 na kibabu etoo itapigwa ngapi na Diego Costa? Hebu Mourinho mlete Pogba na Varane pamoja na Lavezzi tuchukue makombe yote msimu ujao!!
Posted on: Thu, 10 Jul 2014 19:03:27 +0000

Trending Topics



v class="stbody" style="min-height:30px;">
In this season I hear the Lord directing His chosen people go in
SMART EYELASHES AND

Recently Viewed Topics




© 2015