Namkubka sana mzee wangu hayati Moses kulola huyu ni mtumishi - TopicsExpress



          

Namkubka sana mzee wangu hayati Moses kulola huyu ni mtumishi ambaye alizaliwa kiroho nakutumika kipndi cha uamusho mkubwa hapata Tanzania miaka 1975 enzi hzo hakuna injili ya mafuta ya upako,hakuna injili ya utajili,utapeli,injili ya upako,injili ya maji na vitambaaa..Mtumishi huyu aliye tutoka akahubiri injiri ambayo hadi leo tunaona ushuhuda wa kipentecoste bt leo ametutoka katika kipndi kibaya sana cha injili iliyojaaa uongo na wizi na utapeli paka kwenye injili,uzembe ndo umebaki kwa vjana kila fasheni kijana anataka aende nayo,vjana wengi hawafungi na kuomba wanataka wabarikiwe kwa mafuta na vitambaaa vya gharama wakizani miujiza inanunuliwa kwa sababu ya uongo ambao umepandikizwa na watumishi wazembe waongo....jeee Yesu akirudi ataikuta imaaaaaaani hili ni jambo lakujiuliza kama kweli umeokoka vjana tuamkee Ili MUNGU atutumieeee kwa ukamilifu wake kwasababu alisema YESU kuwa utukufu wa nyumba yake utakuwa mkuu kuliko ule wa kwanza..Usiku mwema
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 18:57:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015