Naombe ushauri wenu mafans wa page hii.. Naitwa Ana nko mbeya - TopicsExpress



          

Naombe ushauri wenu mafans wa page hii.. Naitwa Ana nko mbeya naishi na baba yangu wa kambo. Kila ikifika usiku baba yangu huwa anakuja chumbani kwangu akiwa na boxa tu. Huwa tunapiga story me kwa kuona aibu lkn yeye huwa haoni aibu mama amesafiri na amentshia maisha kuwa mama ataporudi nsimwambie chochote. Ilikuwa tarehe 5 mwez wa 4 baba alikuja chumbani na kunambia kuwa anantaka na anaitaj tufanye mapenzi mi nlimkatalia lkn alitumia mabavu mpaka tukafanya tendo mpaka mwisho.. Tatizo langu kubwa sasa hv nna mimba ya miez mitatu na ni mimba ya huyu baba mama anarudi kesho kutwa je niitoe hii mimba ili mam akirudi asijue kulichokuwa kikiendelea?????? Au niache akija ni mwambie tu ukweli?
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 18:25:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015