Natamani siku 1 rahisi wa nchi hii awe Dr Slaa au Mh Mbowe na - TopicsExpress



          

Natamani siku 1 rahisi wa nchi hii awe Dr Slaa au Mh Mbowe na Makamu wake awe Prof Ibrahimu Lipumba, ninaimani umasikini Tanzania utakuwa baibai, na ndani ya kipindi kifupi2 maisha yataanza kuwa bora kwa kila mtanzania na hatimae uchumi wa Tanzania kukua kutoka duni hadi nchi ya kwanza duniani kwa ukuwaji wa uchumi wake yani both GDP na ile ya uchumi wa taifa kwa ujumla, kifupisho chake nimekisahau samahani. Lakini ni mtazamo wangu2 mazee na nina ruhusu mdaharo ktk huu mtazamo. Mungu ibariki M4C! Mungu ibariki Tanzania.
Posted on: Sun, 21 Jul 2013 01:34:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015