Ndugu zangu mnaofunga mwez mtkf wa ramadhani napenda kuwaambia - TopicsExpress



          

Ndugu zangu mnaofunga mwez mtkf wa ramadhani napenda kuwaambia kuwa: Uzr wa Ramadhani c tambi kwa hiriki, bali ni kusoma Qur an kwa wingi wala c uji kwa ndizi bali ni kumuomba Mungu atuhifadh, Tena c chapati kwa mchuzi bali ni kuacha yooote ya kipuuzi na wala c juic kwa sambusa za nyama, bali ni kuomba istighfar kwa Maulana, Pia c daku la wali nazi kwa jodari balu ni Tahajud kwa wingi. MOLA ATUFIKISHE kuudiriki Mwezi wa RAMADHANI na kupaa fadhila zake "Amin" Isha allah Ijumaa kareem
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 13:43:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015