Ni alhamic safiii... Kbx kama kawaida baada ya kaz ni kujipongeza - TopicsExpress



          

Ni alhamic safiii... Kbx kama kawaida baada ya kaz ni kujipongeza lkn usijiulize nikajipongeze wp njoo "CLASIC NIGHT CLUB" Na kwa upande wa burudan siku ya leo kwa ndani yaani club ni usiku wa vidole juu/TAARABU.na utakutana na ma dj wakali kama dj ema,dj albaty,dj rama,dj nelly na kwa upande wa nje yaan kwenye shoo za nje leo ni siku ya vijana wa zamani wazee wa sasa/BAKULUTU, Ambapo utakutana na kobla enterteiment wakitoa burudan ya ukweli sambamba na Dj NELLY bila kumsahau MC HANSIE TIMBER Na kauli mbiu ya clasc night club ni 2mia pesa maana "SANDA" haina mfuko
Posted on: Thu, 05 Sep 2013 16:10:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015