Ni fahari kuu kwamba kipindi adhimu cha NURU YA LUGHA-Radio Maisha - TopicsExpress



          

Ni fahari kuu kwamba kipindi adhimu cha NURU YA LUGHA-Radio Maisha 102.7 Nairobi kinachodhaminiwa na shirika la Sport Light Publishers East Afrika, awali likijulikana kama Target Publicatons, kinataanisi na kukufikia popote ulipo-ndani na nje ya nchi. Nahodha wa kipindi cha leo ni mie Malenga wa Mlima Elgon/Sauti ya Simba, Geoffrey Mung’ou. Studioni watakuwamo Meneja wa Maunzo wa Sport Light Publishers East Afrika, Joel Okindo na wenzake Geoffrey Omariba na Evans Shikuku. Malenga wa Ghuba Fred Obondo, mwalimu Wafula wa Wafula na Dan Bobea Khasiani hawajafutu kufika. Tunayo mahojiano mapevu na Prof. Ken Walibora na H.Kimaru kuhusu kongamano la kumkumbuka Marehemu Shaaban Robert huko Bukoba. TUULIZE SWALI LOLOTE LINALOKUTANZA KUHUSU KISWAHILI? Kuvua maji ya kina, kwataka wakurufunzi.
Posted on: Sat, 31 Aug 2013 04:09:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015