Ni heri Chadema ishike nchi ili maisha yawe rahisi - TopicsExpress



          

Ni heri Chadema ishike nchi ili maisha yawe rahisi yaani; 1:kazini unaenda saa 4 asubuhi hakuna wa kukuuliza. 2:kuiba wake za watu ruksa maana Rais wao ndo staili yake. 3:ukiamka asubuh unakuta kitita cha hela maana serikali ina hela. 5:polisi wote watakuwa likizo maana hakuna kuwasumbua wananchi na majambazi watapata neema. 6: kila mtu atakuwa usalama wa taifa maana hakuna haja ya siri. 7:wanafunzi hakuna kufeli maana utapewa mtihan wenye majibu tayar. 8:Hakuna kulipa nauli wala kodi ya nyumba coz nchi ina rasiliman nyng. Chadema mkombozi aja 2015.
Posted on: Sun, 04 Aug 2013 20:44:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015