Ni mdada wa miaka 26 mwenye mtoto wa miaka 4 ishu ni hii mkaka - TopicsExpress



          

Ni mdada wa miaka 26 mwenye mtoto wa miaka 4 ishu ni hii mkaka niliyezaa nae nilikaa nae tangu nikiwa kidato cha pili akiwa naye ni mwanafunzi chakusikitisha alipopata kazi nzuri akaanza kujenga na kununua gari akaanzakuona wanawake wazuri na wenye heshima zaidi yangu akaanza kuchelewa kurudi kazini nikifua nguo nakuta pakti za kondom na kunasiku nilienda kufanya usafi kwake nikakutana na kondom iliyotumika kiukweli nilivumilia mengi na kuumia sana na kuchoka kushitaki kwa ndugu zake kila wakati kilichoniuma zaidi ni siku tuliyopanga kutoka jion akaniacha nyumbani na nilipotoka nakamkuta na mwanamke kwenye gari niliumia sana na ndo siku niliyoamua kuachana nae. Nikanza relation nyingine haikua nzuri tena kwangu koz nilichitiwa vibaya sana. While sijachukua uamuzi wowote nikakutana na mtu ambaye tulikua karib sana Olevel na tulishawahi kufanya mapenzi ilikua ni school trip akaniambia alikua ananitafuta sana tukaongea mengi yaliyojiri tulipo kua mbali na tukakubaliana tuanze maisha na yeye ana mtoto kama wangu nikaona si mbaya Tukaanza mahusiano upya na nikawa sina mawasiliona na yule mtu mwingine koz hakua na mpango na mimi tulipanga mambo mengi na yeye ni mfanya biashara mimi ni mfanyakazi akaniambia nimpe hela aniagizie mzigo kamapala na nilipopata mshahara nikampa ilikua ni mwanzo wa mwezi huu huwezi amini mapaka leo sijapata huo mzigo kila siku anasababu mara oh niliyemtuma kakamatwa akarudi leo ni wiki ya pili toka arudi ananiambia eti kaleta mzigo si mzuri then tulikubaliana atapanga nyumba tukae lakini kila siku hadithi leo amenionyesha anakoishi kiukweli nilijikuta namfokea ni chumba kidogo na nyumba ambayo zamani ilikua gest yani ndo anaishi hapo kiukweli nimechoka sijui nifanyeje na baba wa mtoto anaonesha kama anataka kurudi hata sielewi jamani nifanye ninia. Niendelee kuvumilia huku kwa sasa o nirudi kwa baba mtoto kimapenzi baba mtoto nimeacha kumpenda zamani sana da nimekwama washikaji
Posted on: Mon, 11 Nov 2013 08:40:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015