Ni wanaume wa Tanzania tu ambao -Hujua sana madangulo,bar night - TopicsExpress



          

Ni wanaume wa Tanzania tu ambao -Hujua sana madangulo,bar night clubs na sio misikiti na makanisa -Kila mtu hujiita mwana Hip Hop na sio mwana kwaya -Hutumikia wanasiasa kukaa juani na maandamano na sio kujitumikia wao wenyewe katika maisha yao -Husoma vitabu vya mapenzi na sio Qurani au biblia -Huangalia CD za ngono gheto na sio mikanda ya Yesu wala ya dini nyingine -Humiliki mademu wengi bila kujiuliza vipi wangeona mama zao wanamilikiwa na wababa wengi pia.
Posted on: Mon, 08 Jul 2013 07:18:33 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015