Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9 - Oprah Winfrey Sikumaliza - TopicsExpress



          

Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9 - Oprah Winfrey Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo - Bill Gates Kwenye Maisha ya Utotoni, Nilidhulumu Viatu – Abraham Lincoln Nilipata sana shida katika kipindi chote nilichokuwa Shule - Dr Ben Carson Nilikuwa nauza Chai Dukani ili niweze kupata Hela kwa ajili kufanikisha Mazoezi - Lionel Messi Nililala Sakafuni kwenye Vyumba vya Marafiki , nikiwa nakusanya Chupa za Coke kwaajili ya Hela ya Chakula, na pia kupata Chakula cha Bure cha Wiki kinalichotolewana Wahisani - Steve Jobs Mwalimu wangu alikuwa akiniita Anayefeli – Tony Blair KUMBUKA:Maisha sio kile ambacho hujakifanya mpaka sasa, ila nijuu ya kile ambacho bado una muda na uwezo wa kukifanya!!!USIKATE TAMAA
Posted on: Fri, 01 Nov 2013 18:43:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015