Nilipofika mbinguni nikaona saa nyingi za mshale ukutani, - TopicsExpress



          

Nilipofika mbinguni nikaona saa nyingi za mshale ukutani, nikamuuliza malaika hizi saa za nini? Akaniambia hizo zinahesabu dhambi. Ikizunguka mara moja dhambi moja, kulikuwa na saa moja haizunguki ,nikauliza mbona saa moja haizunguki? Nikaambiwa ile ni ya nabii Mussa hadi anakufa hajawahi kutenda dhambi. Nikauliza saa ya huyu anayesoma statu hii iko wapi? Akaniambia iko chumbani kwa sir God anaitumia kama FENI maana inavyozunguka ni balaa!
Posted on: Sat, 28 Sep 2013 06:11:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015