Niliwaza na kuwazua.... nikiamini ntaweza kuishi mwenyewe bila mke - TopicsExpress



          

Niliwaza na kuwazua.... nikiamini ntaweza kuishi mwenyewe bila mke maisha yote!! niliwachukulia wanawake kama watu wasionistahili. Lakini nimejikuta nawaza kuoa sana, nikiamini ni njia sahihi ya kufanya maamuzi yangu na familia pia, kuepuka vishawishi, hata kupata maambukizi ya VVU bila kujua. Nafurahi kuwaambia marafiki zangu wote kuwa nimepata mchumba.... picha yake ntai-upload siku chache zijazo. Nampenda sana BEATRICE..... Namini nikimuoa atakuwa ka Michell Obama kwa mumewe
Posted on: Tue, 30 Jul 2013 11:43:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015