Nimefanya kazi Tanzania muda mrefu, pia nimepata nafasi za - TopicsExpress



          

Nimefanya kazi Tanzania muda mrefu, pia nimepata nafasi za kusafiri dunia nzima kasoro Greenland,nimefanya kazi na watu wengi na wa mataifa mbalimbali na kujifunza mengi.Ninajishangaa sana uwezo wa ajabu wa kufahamu jambo kabla halijatokea na pia kufahamu jinsi mtu anavyofikiri kabla ya kusema na kufahamu makusudi ya mtu yeyote na mawazo yake juu yako kabla ya kutenda na kufahamu na chochote linaoendelea mahali nilipo.Hii ni ajabu
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 10:11:31 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015