Nimekaa najiuliza sana kwa akili yangu na mawazo yangu sie mpira - TopicsExpress



          

Nimekaa najiuliza sana kwa akili yangu na mawazo yangu sie mpira tunauwangaliaje mpaka tunamsifia?mana sometime najiuliza wachambuzi wanaupotosha mpira au media zote mana asilia nyingi worse performance ya wachezaji wengi leo ii mpaka unakuta saidi maulidi anarudi uwanjani tena ana perform anakua man of the match mech na azam wkt wapo wachezaji wengi wanasifiwa..i think vifaa vikikamilika vya tv nadhani itaisha i kudanganyana sana au kuna ...............
Posted on: Sun, 22 Sep 2013 09:46:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015