Nimekuwa na mume wangu kwa miaka sita sasa tangu tuoane. Tuna - TopicsExpress



          

Nimekuwa na mume wangu kwa miaka sita sasa tangu tuoane. Tuna mtoto mmoja wa miaka minne na mume wangu anapenda familia yake sana. Hata hivyo tangu tuoane, la kushangaza mume wangu hutoka nyumbani asubuhi kwenda kazini na hurudi kitu saa mbili hivi jioni, lakini sijawahi kujua anafanya kazi gani hataaa. Akifika huzima simu na nikiuliza anafanya kazi gani yuauliza ni chakula nataka au ni kazi anafanya nataka. Juzi nilipigwa kwa kuuliza, jamani nifanyaje?....... kazi kwako msikilizaji
Posted on: Tue, 03 Sep 2013 13:59:28 +0000

Trending Topics



/div>
>
#ibutler #Free #Download choose your language:

Recently Viewed Topics




© 2015