Nimesoma mahali kuwa, akiwa nchini Afrika Kusini, rais wa - TopicsExpress



          

Nimesoma mahali kuwa, akiwa nchini Afrika Kusini, rais wa Marekani, Barack Obama, amekutana na wanafunzi wa Kenya wenye kusoma huko bondeni, na miongoni mwa maswali waliyomuuliza ni kwanini hajatembelea Kenya. Nikaendelea kusoma kuwa, jamaa kwenye majibu yake, aligusia issues za ICC, lakini akawaambia kuwa bado ana zaidi ya miaka mitatu madarakani, kwahiyo wasiwe na wasiwasi, atafika tu ndani ya miaka yake ya madarakani.......
Posted on: Sat, 29 Jun 2013 18:18:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015