Nini hatma ya siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo"? - TopicsExpress



          

Nini hatma ya siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo"? [Green Guard, Red Brigade, Blue Guard, etc] - Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakataza mtu, chama au taasisi yoyote kuunda jeshi au chombo chenye muelekeo wa kijeshi “Para-millitary groups” ispokuwa serikali yenyewe! Tuweke siasa kando; hiki ndicho wananchi tunataka toka kwa wanasiasa wetu na vyama vyao? Fuatilia mjadala huu hapa ---> j.mp/19353WG
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 15:51:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015