Ommy Dimpoz mpaka sasa hivi ametetewa na kuombewa msamaha na watu - TopicsExpress



          

Ommy Dimpoz mpaka sasa hivi ametetewa na kuombewa msamaha na watu maarufu watatu amabao naamini wanawawakilisha watu wengine vizuri. Wtu hao ni Mhadhiri wa chuo cha Mzumbe LUPOJIZO, masanii mkongwe Afande Selle na Msanii matata Nay wa mitego. Soma habari zao ktk blogs mbalimbali hapo chini 1. Mhadhiri wa Chuo Lupogo Issaya aka Lupojizo eddymoblaze.blogspot/2013/06/mhadhiri-wa-chuo-kikuu-amtetea-ommy.html 2.Afande Selle swahilitz/2013/06/afande-sele-nae-afunguka-kuhusu-sakata.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+swahilitzblog+%28Swahilitz%29&utm_content=FaceBook 3. Ney wa Mitego mateja20.blogspot/2013/06/hii-ndio-kauli-ya-ney-wa-mitego.html kWA NINI TUSIMSAMEHE MSANII WETU???????
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 18:55:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015