Oooraiiiiiiiit kabisha sasa...ni mwanzo mwanzo wa hala - TopicsExpress



          

Oooraiiiiiiiit kabisha sasa...ni mwanzo mwanzo wa hala shinima iliyochezewa katikati mwa Kusini mwa Magharibi mwa jiji la Nairobi ambapo tunapatana na hala shtaring kwenye mchezo huu wa kuigiza..wa shalalaaa. Hapo basi ndugu mpenzi mtazamaji, kama unavyoona shtarring ni jitu moja kwa jina ah..ah...ah..ah.. Ahmed Hussein sasa..makosaa...unasema kîrimû unakosea...jitu hapana machezoo..wololoo yaye. Ukitizama silaha gaidi hili na genge lake walizobeba ni kama GPMG yaani General Purpose Machine Gun, Koroboshta with semi-automatic machine gun na pishtol aina ya revolver..cheki maneno shashs Indaa..lakini kile mashinery hatambui ni ati nje, kimeumana, amengojewa na marines, red bellets na spects nut shasha pia #kimaiyo mwenyewe..cheki maneno. Ndugu mpenzi mtazamaji, usikose kutegea hili shinima..'Mission Westgate part II'.. nimekua wako Top Ranking Dj Afro Amigos shasha
Posted on: Sat, 21 Sep 2013 13:16:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015