PACQUIAO AMTANDIKA Brandon Rios Sunday, 24 November 2013 - TopicsExpress



          

PACQUIAO AMTANDIKA Brandon Rios Sunday, 24 November 2013 Imeandikwa Na Mjengwa Blog Email Add new comment boxing f2fc6 Bondia Manny Pacquiao (HM) boxing2 92cc6 BONDA Manny Pacquiao amerejesha heshima baada ya kumpiga kwa pointi Brandon Rios mjini Macau asubuhi ya leo. Mfilipino huyo alirejea ulingoni baada ya mwaka mmoja tangu apigwe kwa Knockout na Juan Manuel Marquez. Na alishinda kila raundi hivyo kuweka hai matumaini ya kupigana katika pambano la dola za Kimarekani 300 dhidi ya Floyd Mayweather Jnr. Alipata pointi 10 dhidi ya tisa kila Raundi katika Raundi 10 na mwisho wa siku akakusanya pointi 120 kwa 109. Chanzo: sportmail
Posted on: Sun, 24 Nov 2013 16:25:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015