PATIKANA...... Jamaa anapatana na manzi wake lunch time Dem: - TopicsExpress



          

PATIKANA...... Jamaa anapatana na manzi wake lunch time Dem: Honey, u must be hungry... njoo nikutake lunch Chal: U serious dear? Dem: Yaah. very Chali: Thats my gal.... i lov it. Thanks dear Dem: Anytime hun (Wanaingia kwa hoteli. Dem ndo anaorder... kuku full, chipps, Samaki, sousage... soda kubwa mbili. githeri... na vitu mob) Dem: Huby usiogope kula Chali: Thanks dear ( Chali kwa kuwa amezoea kubuyia dem pizza yeye akila githeri, anaamua kulipiza. anakula kumaliza. Baada ya kula bill inaletwa. Dem anaishika) Dem: Hun, nilikuwa nataka tule the same food. Si kila time unanibuyia food expe na unakula cheap. ati "niko poa".... (anapea chali bill) LIPA TUONDOKE
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 07:26:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015