PHILLIPO THE GREAT..KURUDI TENA KWENYE GAME!!.....Habari kamili - TopicsExpress



          

PHILLIPO THE GREAT..KURUDI TENA KWENYE GAME!!.....Habari kamili toka kwa rais wa hardtone recordz manwell ze produzer zinahabarisha kuwa...baada ya kimya kirefu msanii chipukizi wa bongo flava Phillipo the great,,,,ameamua kuvunja ukimya na ku drop na ngoma kali inayokwend kwa jina la mimi siyo lier!!! Akiwashirikisha Stwo boy...the Raidon Presdent na manwell mwenyewe....kaa tayari kwa ujio wa The great..!!!! Usipime!!!! ...tutaiweka hewani punde....imefanywa na manwell the produzer!!!!!!! Stay tuned!!!
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 07:32:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015