PICHA YA KWANZA: Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, aliyefariki - TopicsExpress



          

PICHA YA KWANZA: Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, aliyefariki nchini Congo, akiwa katika Jeshi la Kulinda Amani... PICHA YA PILI: Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakiwa na mwili wa Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, baada ya kuuteremsha katika ndege maalum ya Jeshi... PICHA YA TATU: Mjane wa Marehemu na watoto wake wakiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume leo mchana wakitokea Mjini Dar-es- Salaam…. Mungu ailaze nafsi ya marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, mahala pema peponi, aamiin!...
Posted on: Sun, 01 Sep 2013 20:22:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015