POLE MTANZANIA MABOMU YANAIPIGA NCHI RAISI YUPO UINGEREZA - TopicsExpress



          

POLE MTANZANIA MABOMU YANAIPIGA NCHI RAISI YUPO UINGEREZA SUNDERAND, ANACHEKI MAZOEZI, PINDA ANATOA KAULI MBOVU, ETI NDIE KIONGOZI, BUNGE HALIJARI, LINAENDELEA NA KAZI AMKA MTANZANIA PENYE NIA PANA NJIA! Wakati USA ilipotokea mlipuko huko Boston, Rais Obama aliacha kila kitu na kwenda ikulu kulihutubia taifa na pia ulipotokea shambulio la train huko uingereza waziri mkuu wao alitoa statement na kuwapa pole wahanga. Hapa kwetu Bw.Jakaya kikwete anakuwa Rais wa kwanza duniani ambapo mlipuko umetokea ndani ya nchi yake na raia kadhaa kufariki na makumi kujeruhiwa na yeye kutosituka badala yake kuendelea kula raha kwa kutumia jasho la wananchi hao hao kwenda kutembelea timu ya sunderland ya uingereza. swali kwa watanzania wenzangu anafanya hivi kwa ajili ya nini hajali wananchi wake waliopoteza maisha na kwa hili najiuliza kama mwanae angekuwa ni mmoja wa victims wale je angeendelea kwenda kujirusha na sunderland au guilty ya kuhusika na tukio zima?? hasa ukizingatia this is very unusually and unthinkable reaction kwa mtu anayeitwa Rais wa nchi. Pia,ipi ilikuwa reaction ya Bunge?vikao viliendelea kama kawaida kama hakuna kilichotokea,hakika nafsi na dhamira zao zinawasuta.
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 05:12:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015