Pata marafiki ambao ni mashabiki wa timu uipendayo. Hatua ya 1. - TopicsExpress



          

Pata marafiki ambao ni mashabiki wa timu uipendayo. Hatua ya 1. LIKE HII POST. Hatua ya 2. COMMENT jina la mchezaji wa Manchester United unaemkubali zaidi. Mf: Mark Hughes, Alan Smith, David Beckham au Danny Welbeck n.k. Hatua ya 3. Like comment ya jina la mchezaji unaemkuli. Hatua ya 4. Send friend request kwa mtu alieLIKE comment yako. Hatua ya 5. Kubali friend request muwe marafiki. Hatua ya mwisho furahia kuwa na rafiki ambae ni shabiki mwenzio wa Manchester United. GGMU! #KT
Posted on: Fri, 23 Aug 2013 18:08:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015