Perfect Internet inaleta mradi wa kuziwezesha kimapato taasisi na - TopicsExpress



          

Perfect Internet inaleta mradi wa kuziwezesha kimapato taasisi na vikundi mbali mbali vya kijamii pamoja na watu binafsi kwa ujumla Fursa nyingi za mitandaoni ni fursa feki. Sio kwa Perfect Internet. Perfect Internet ni mtandao wa uhakika kabisa. Si wa ubabaishaji. Sisi tuliojiunga nao tangu fursa ile ya awali iliyoisha March 2012 ya kujiunga na tovuti wakati huo ikijulikana kama Wazzub halafu baada ya kujiunga unaalika watu angalau watatu ili u qualify kuwa mwanachama wa kugawana faida ambapo makubaliano yalikuwa 50% ya faida itagawanywa kwa wanachama waliochangamkia fursa ile tayari tumeanza kugawana faida mwezi uliopita wa September 2013 ambapo faida ya kwanza ilipatikana na tutaendelea kugawana faida kila mwezi milele. Tukifa tunarithisha mapato yetu kwa wraithi wetu ambao nao wataendelea kutumia account zetu za Perfect Internet. Kwa wale wanachama wenzangu waliojiunga na kuendelea kuwa wanachama kwa kufuata maelekezo ya Perfect Internet watakuwa mashahidi wa ukweli huu. Tuje kwenye fursa hii kwa taasisi na vikundi mbalimbali vya kijamii Perfect Internet inaleta kwenu Application inayoitwa Perfect App ambayo ni ya bure. Unachotakiwa kufanya kuchangamkia fursa hii ni kupakua (download) hiyo Perfect App kwenye laptop au desktop yako kwa sasa na kuanza kuitumia halafu unawaalika watu wengine wafanye hivyo hadi hapo tarehe 28/02/2014 wakati fursa hii itakapokoma. Watu uliowaalika pamoja na wale walioalikwa na watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini wakianza kuitumia hii Perfect App basi taasisi/kikundi chako kitalipwa kwa masaa yote yatakayorekodiwa wakati Perfect App inatumika na hao watu uliowaalika. Vilevile wanachama wa taasisi/kikundi husika ambao wamejiunga kupitia kiungo cha taasisi/kikundi husika nao watalipwa kwa masaa ya matumizi yao wenyewe na watu waliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini. Hivyo huu ni mradi mkubwa wa kimapato kwa taasisi/vikundi (NGO, makampuni ya biashara, vyama vya ushirika, vyuo, shule, dini, vyama vya siasa, vikundi vya kijamii, klabu za mpira na michezo mingine, n.k) pamoja na wanachama wao. Watu watakaoitumia hii Perfect App wataongeza traffic kwenye tovuti ya Perfect Internet na hivyo kuiwezesha Perfect Internet kuuza matangazo pamoja na deals zingine za kwenye mtandao. Perfect Internet imepanga kutumia 20% ya hela ya mauzo haya kuyagawa kwa wanachama watakaochangamkia fursa hii hadi hapo 28/02/2014 ambapo ndio mwisho wa kuchangamkia fursa hii. Kwa mwezi huu wa October 2013, kila lisaa limoja la matumizi lina thamani ya $0.01. Thamani hii ya malipo kwa saa itakuwa inaongezeka kadri watumiaji wa Perfect App watakapokuwa wanaongezeka. Malipo ya mwezi husika yatakuwa yanalipwa tarehe 15 ya mwezi unaofuata. Kwa mfano malipo ya mwezi huu wa October 2013 yatalipwa 15/11/2013. Malipo yatafanyika kwa kutumia Debit Card za kimataifa za Perfect Internet ambazo zitaziwesha taasisi/vikundi pamoja na wanachama wao kuchota pesa kwenye ATM mashine yoyote ile hapa duniani ambayo imeunganishwa na mtandao wa VISA kwa mfano ATMs za CRDB, Citibank, n.k. Kwa mara ya kwanza unatakiwa uwe umepata angalau $50 ili malipo yaweze kufanyika. $25 ni gharama ya Debit Card na $25 ni kiwango cha chini kabisa ampapo Perfect Internet wanaweza kuweka Pesa ndani ya ATM. Utaweza kuagiza Debit Card kutoka kwenye ofisi yako ya hewani mara baada ya mapato yako kufikia kiwango cha $50. Habari za Debit Card yako, Masaa yako uliyoyarekodi kwa matumizi ya Perfect App, kiungo chako maalum kwa ajili ya kualikia watu ili wajiunge kupitia taasisi/kikundi chako, wanachama waliojiunga kupitia tasisi/kikundi chako vyote hivyo utavipata kwenye ofisi yako mahsusi ya hewani mara baada ya kujiunga na fursa hii. Kujiunga na fursa hii kama taasisi au kikundi au kama mtu binafsi basi bonyeza kiungo hiki kujiunga bure goo.gl/MhqS3
Posted on: Sun, 20 Oct 2013 17:42:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015