Phone rings GIRL: Hi baby,si ungoje - TopicsExpress



          

Phone rings GIRL: Hi baby,si ungoje nikupigie later please? BOY: Kwani unado? GIRL: Nakula na pia nawatch vampire diaries kwa lap top kwa room yangu BOY: Sawa,unakula nini? GIRL: Chipo,kuku, samosa then nikunywe red whine kiasi nimeshindwa na chapo imagine!... {Mama wa dem speaks loudly in the background pamela usimalizie junior githeri haki alafu hiyo suturungi msiiweke sukari ni ya uji ya mtoto kesho.ukimaliza uzime hiyo candle hakuna ingine} BOY: Baby are u stil there? Phone hung up,aftr 2 seconds switchd off Like this page for more Convos ==>>Majibu Za Walevi , BY : Carol
Posted on: Wed, 17 Dec 2014 09:27:17 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015