Pinda: Wawekezaji wazawa kupewa kipaumbele Waziri Mkuu, Mizengo - TopicsExpress



          

Pinda: Wawekezaji wazawa kupewa kipaumbele Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto), akizungumza na Gavana wa Kisiwa cha Anjouan, Comoro, Anissi Chamsidine (kulia), wakati wa kongamano la uwekezaji Kanda ya Kaskazini mjini Tanga jana. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa (wa pili kulia aliyesimama), Ofisa wa Anjouan, Allaoui Toihirdine (katikati aliyekaa) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri (wa pili kushoto)....inaendelea zanzibarelite.blogspot/2013/09/pinda-wawekezaji-wazawa-kupewa.html
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 15:02:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015