Pindi utakapo isikia adhana jiulize: (1 ) hiyo ni saut gani? (2 - TopicsExpress



          

Pindi utakapo isikia adhana jiulize: (1 ) hiyo ni saut gani? (2 ) inamuhitaji nani? (3) je? mimi si miongoni mwa hao wanaoitajika? (4) je? wale wanaoitikia wito kwa kutekeleza ibada ni akina nani na mm n nani? (5) kama nitaondoka ktk dunia hii nitakwenda kumjibu nini Manani? kwamba adhana sikuisikia? Misikiti sikuiona? Au sikupata mtu wa kunikumbusha? Tambua hakuna wa kukufanyia IBADA zaidi ya wewe mwenyewe. MUDA NDIO HUU kumbusha wenzio wasijisahau na Dunia..Ijumaa kareem
Posted on: Fri, 08 Nov 2013 01:33:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015