Post ya Mwisho kuhusu umaarufu wa uchafu wa LEMA na sitaandika - TopicsExpress



          

Post ya Mwisho kuhusu umaarufu wa uchafu wa LEMA na sitaandika tena!! SASA CHADEMA IRUHUSU WANACHAMA KUKWATUANA KWA ID HALISI SIO KOSA KIKANUNI!! Alichokifanya lema hakina tofauti na walichokifanya akina mwapamba na Shonza kuwananga akina mzee slaa na Mbowe (Viongozi wa taifa wa chama) mitandaoni kwa ID zao halisi kama lema, Ni tofauti na anachotuhumiwa kukifanya Samson Mwigamba, alitoa mawazo halisi ya mabadiliko ya kichama kwa ID feki, Mwanzo nilidhani kosa la mwigamba limechukuliwa hatua kwa sababu alitumia ID feki na ndio sababu Lema hachukuliwi hatua kwa sababu yeye anatukana na kukejeli Zitto Z Kabwe (kiongozi wa taifa) kwa ID halisi ya jina lake, SASA NAJARIBU KULINGANISHA MATUKIO YA AKINA SHONZA YALIITWA UHAINI NDANI YA CHAMA NA HUYU LEMA ANAONEKANA KUWA SAWA TU, JE KUNA NINI KATI YA VIONGOZI WAKUU WA CHAMA NA AU SASA NI RUKSA KUKWATUANA KWA ID HALSI NA SIO KOSA?
Posted on: Wed, 06 Nov 2013 06:47:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015