Q: Umenyoa nywele? A: Hapana, nimebadilisha kichwa. Q: Hiyo simu - TopicsExpress



          

Q: Umenyoa nywele? A: Hapana, nimebadilisha kichwa. Q: Hiyo simu umenunua? A: Hapana nimeitengeneza mwenyewe. Q: Utakula mboga na nini? A: Mdomo (At midnight call) Q: Nimekuamsha? A: Hapana nilikuwa naota jua hapa nje. Q: Gazeti la leo linasemaje? A: Sijaongea nalo. Q: Gari limejaa, nitakaa wapi? A: Usijali dereva anashuka next stage utapata kiti. Q: Hiyo ni accident? A: Hapana ni driver ameamua kupark gari upside down. Q: Umepause movie? A: Hapana wamechoka kuact wanarest Q: Strike ya walimu imeisha? A: Hapana wako halftime Q: Hio ni kuku inapata? A: Hapana ni dem wa nyeri Q.Hiyo ni gazeti ya Leo? A.Hapana,ni yangu
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 16:50:52 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015