REDDs Miss Tanzania 2013/14: MAJANGAAA! 1. The worst event ever - TopicsExpress



          

REDDs Miss Tanzania 2013/14: MAJANGAAA! 1. The worst event ever in the history of Miss Tanzania! Kama ni bidhaa ningesema ni ya kichina kwa upande wa quality. 2. REDDs wamefulia. Kwanza hako ka beer kenyewe sijui nani anakunywaga. Badilisheni mdhamini fastaa. 3. Let me be honest: Mshindi awe na vigezo vitatu alivyobarikiwa; (1) Uzuri wa kupitiliza (2) Urefu (3) Mwili wenye mvuto. Hayo mengine ya kuongea vizuri, talent and brains hivyo vyote anaweza kufundwa tu! 4. Hivi hawa wadada wote wamekaa kambini mwezi mzima wameshindwa kujisugua yale magoti yao? Alafu bado wamevaa vinguo vifupi (such a turn off) 5. K-Lynn, Nancy Sumari, Shose Senare and Bridgette Lyimo - Hawa ndio pekee waliokuwa wanamvuto!
Posted on: Sun, 22 Sep 2013 11:16:16 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015