REPOSTED MZEE KIMBELEMBELE. Katika kikao cha kahawa mjini Mombasa, - TopicsExpress



          

REPOSTED MZEE KIMBELEMBELE. Katika kikao cha kahawa mjini Mombasa, wazee walikuwa wanatia stori kuhusu sehemu mbali mbali ulimwenguni. Walianza kutaja Uarabuni na kadhalika. Mzee mmoja akaanza mbwembwe. MZEE ALI: Aaaah, mimi nlikuwa baharia bwana, wapi sijakanyaga.Kuanzia Uhispania, Ujerumani, Brazil, Izraeli, Ubelgiji, Canada, Italy, America, Nchi kama zote za Africa na hata Asia. MZEE JUMA: Loh basi wewe waonekana Geography unaitambua vilivyo? MZEE ALI: Aaaaaahh wauliza, huko Geography nlikwenda kitambo hata nilizaa watoto na mzungu huko.
Posted on: Wed, 31 Jul 2013 00:02:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015